Breaking

Jumanne, 22 Januari 2019

Video | Eunice Kemunto – Mipango Yako

Eunice Kemunto ni mwimbaji na mwandishi wa nyimbo za Injili mwenye asili ya Kenya ambaye kwasasa anaishi nchini Canada, Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Mipango Yako.

“Utunzi wa wimbo huu ulichochewa na ziara yangu katika nchi yangu ya Kenya. Wakati mwingine matarajio ya yatima, wajane, na walio katika mbaya yanaweza kuonekana kuwa dhaifu, lakini usikate tamaa. Mungu wetu ana maisha yako yaliyowekwa chapa katika mikono yake, amehesabu nywele juu ya kichwa chako, Wewe jisalimishe tu na kumtegemea yeye.” – alisema Eunice
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki, Amen


Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Eunice Kemunto kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 7809 010 912
Facebook: Eunice Kemunto
Instagram: @kemunto_eunice

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni