MAARIFA
Machi 11, 2021
MSAMAHA
Bwana Yesu asifiwe wana wa Mungu.Siku ya leo tutazungumzia Msamaha
✅msamaha au kumsamehe mtu limekuwa ni jambo gumu sana kufanywa na wanadamu.Watu wengi wanashindwa kusamehe pale ambapo wametendewa mambo magumu na ya kuumiza sana.kutokusamehe huku kumesababisha watu kutembea na maumivu makubwa ndani ya mioyo yao,na maumivu haya yamesababisha watu wengine kupata magonjwa kama vile pressure.Kutokusamehe huku kunafungua mlango wa mauti unaoweza kukuletea kifo,lakini pia kutokusamehe ni kifungo cha ibilisi.
✅Tabia ya Mungu ni kutusamehe na ndio maana hata umkosee mara ngapi Mungu ni lazima
✅Tabia ya Mungu ni kutusamehe na ndio maana hata umkosee mara ngapi Mungu ni lazima





