Breaking

Jumatatu, 25 Februari 2019

Video | Paschal Cassian – Utakufa Unajiona


Kutoka jijini Dar es salaam leo tumeisogeza kwako video ya wimbo uitwao Utakufa Unajiona ukiwa ni wimbo pekee uliobeba masikitiko makubwa kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Paschal Cassian ambaye kwasasa ni mlemavu uliotokana na ajali ya gari miezi kadhaa iliyopita.
Hii ni video iliyobeba ujumbe wa kuwakumbusha watu juu ya kusaidia wale wanaofikwa na matatizo mbalimbali yanayohitaji msaada hali na mali.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika kuwa utakugusa na pale utakapoguswa basi unaweza kumsaidia kwa chochote ulichonacho ili aweze kupata msaada wa matibabu, Amen.


Kwa mawasiliano zaidi na waweza kumsaidia mwimbaji Paschal Cassian kupitia:
Simu: +255 688 199 370 au +255 766 998 994
Facebook: Paschal Cassian
Instagram: @paschalcassian
Youtube: Paschal Cassian

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni