Joyce Omondi ni moja kati waimbaji mahiri wanaofanya vizuri jijini Nairobi Kenya ambapo kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Tumaini ikiwa ni moja kati ya nyimbo zinazopatikana kwenye albamu yake iitwayo Spirit Vs Soul.
Video hii imeongozwa na director Trey Juelz, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Dominic Khaemba.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki kila wakati, Amen.
Social Media
Facebook: Joyce Omondi
Instagram: @joyceomondi
Twittter: @joyceomondi
Youtube: Joyce Omondi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni