Breaking

Jumatatu, 7 Januari 2019

VIDEO | Sayuni Mrita – Nitashinda tu

Nitashinda tu
Kitu kipya hiki hapa kutoka kwa Sayuni Mrita ni nyimbo ambayo inakwenda kwa jina la Nitashinda tu, sikiliza nyimbo hii ikafanye mabadiliko katika maisha yako
na uwe na imani ya kushinda mambo mbalimbali katika majaribu au mapito unayopitia. Mungu akubariki nikutakie utazamaji mwema.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni