Kwa mara nyingine tena Mercy Masika amekuja na kitu kimya kinachokwenda kwa jina la He Never Lie. Ni nyimbo ambayo imegusa mioyo ya watu wengi.
Nakutakia baraka zote unapoenda kuitazama video hii na Mungu akubariki
Video kali kabisa kutoka kwake Fabrice J Prince unaokwenda kwa jina la Bila wewe, nyimbo hii inaelezea kuhusu huyu Mungu jinsi anavyotute...
About Gospel Sharom
Kanuti Mmbaga Smart is a Social Media Strategist & a Minister Of The Gospel! I'm also a widely online publisher, leading the revolution in Gospel Media #KingdomBlogger
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni