Breaking

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo MAFUNDISHO. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo MAFUNDISHO. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 5 Machi 2021

Machi 05, 2021

DCLM Daily Manna – Set Apart For God



DCLM Daily Manna 5 March 2021 Devotional By Pastor W. F Kumuyi – Set Apart For God

 TOPIC: Set Apart For God

TEXT: Psalm 4:1-8 (KJV)

1 (To the chief Musician on Neginoth, A Psalm of David.) Hear me when I call, O God of my righteousness: thou hast enlarged me when I was in distress; have mercy upon me, and hear my prayer.

2 O ye sons of men, how long will ye turn my glory into shame? how long will ye love vanity, and seek after leasing? Selah.

3 But know that the LORD hath set apart him that is godly for himself: the LORD will hear when I call unto him.

4 Stand in awe, and sin not: commune with your own heart upon your bed, and be still. Selah.

5 Offer the sacrifices of righteousness, and put your trust in the LORD.

6 There be many that say, Who will shew us any good? LORD, lift thou up the light of thy countenance upon us.

7 Thou hast put gladness in my heart, more than in the time that their corn and their wine increased.

8 I will both lay me down in peace, and sleep: for thou, LORD, only makest me dwell in safety.

KEY VERSE: “But know that the LORD hath set apart him that is godly for himself: the LORD will hear when I call unto him.” – (Psalm 4:3)

MESSAGE:

The godly is a cherished and priceless possession of the Lord. He searches the earth for such a soul; and when discovered, is set apart for His service and fellowship. A Christian writer noted that “knowing and loving God is our greatest privilege and being known and loved is God’s greatest pleasure”. Indeed, God wants unbroken fellowship with His chosen children, like Adam and Eve, whom He set apart in the Garden of Eden for constant communion.

The godly must maintain a perpetual attitude of fellowship with God for this is the heartbeat of the Almighty and His greatest expectation. We must develop the attitude of constant conversation with our heavenly Father. This we do by praying “without ceasing” (1 Thessalonians 5:17). We must worship Him with pure heart and motive; honour Him and meditate upon His word regularly as a means of obedience and submission to do His will.

God shares His secrets with the godly. He revealed His redemptive plan for Israel to Abraham who committed himself to passing his faith down to his posterity (Genesis 18:19). Indeed, “The secret of the LORD is with them that fear him; and he will shew them his covenant” (Psalm 25:14).

Believers should cultivate the enviable attitude of constant conversation with God through prayer. With an acceptable life, he or she is sure to receive manifold portions from Him and an assurance of a place in His kingdom.

THOUGHT FOR THE DAY:
Friendship with God is reserved for those who reverence Him.

THE BIBLE IN ONE YEAR:
Leviticus 18-20

DCLM Daily Manna was written by Pastor William Folorunso Kumuyi; is the founder and General Superintendent of the Deeper Life Bible Church situated at KM 42 on the busy Lagos-Ibadan Expressway, Nigeria.

Machi 05, 2021

Seeds Of Destiny Devotional – Useful Guide To Profitable Relationships





Dunamis’ Seeds Of Destiny 5 March 2021 Devotional By Pastor Paul Enenche – Useful Guide To Profitable Relationships.

TOPIC: Useful Guide To Profitable Relationships

Relate with people who influence your life positively and not those who influence your life negatively.

SCRIPTURE: Be not deceived: evil communications corrupt good manners. 1 Corinthians 15:33.

THOUGHT FOR THE DAY: Relate with people who influence your life positively and not those who influence your life negatively.

Having established previously, that relationship is key to destiny fulfilment, I will like you to take note of the following guide to profitable relationships:

i. Relate with the future in mind and not just for the moment (Matthew 4:19-20)

Relate with the future in mind and not just for the moment. To have a successful relationship, ask yourself questions like: “Does this relationship have a future? If I continue to hang around this person, will I go to heaven or end in hell? Should this person become my life partner, would he/she assist me to please or displease God?”

Beloved, when you relate, do so with the future in mind.

ii. Relate with positive influences, not negative influences (1 Cor. 15:33)

Relate with people who influence your life positively and not those who influence your life negatively. Relate with people who bring out the best in you, and not those who bring the worst out of your life.

Relate with those who turn your lukewarmness into spiritual fervency; those who assist you from staying at home on Sunday morning to going to church on Sunday morning.

Do not relate with people who ask you to taste cigarette and tell you that it will not kill you. Do not relate with people who tell you to indulge in substance abuse.

Beloved, relate with people with positive influences over your life.

Remember this: Relate with people who influence your life positively and not those who influence your life negatively.

ASSIGNMENTS:

  1. Relate with the future in mind.
  2. Relate with people of positive influences.

PRAYER: Lord, Thank You for Your Word to me today. I receive the grace to engage in, and maintain the right relationships, Lord in Jesus’ Name.

FOR FURTHER UNDERSTANDING, GET THIS MESSAGE: CRITICAL WISDOM FOR SUCCESSFUL LIVING (PT1)

QUOTE: Watch your Association. People die before their time because of who they call friends. Culled from “15 KINGDOM STRATEGIES FOR SURVIVAL” by Dr Paul Enenche

DAILY READING: 2 Samuel 13-16.

AMAZING FACT: The eagle has always been considered as the king of birds, on account of its great strength, rapidity and elevation of flight, natural ferocity, and the terror it inspires into its fellows of the air.

PROPHETIC DECLARATION/WORD: Wisdom for positive relationship is released upon you in Jesus’ Name.

Today’s devotional was written by Pastor Paul Enenche of the Dunamis International Gospel Centre (DIGC), headquartered at Abuja, Nigeria, with Pastor Paul and Becky Enenche, as the Senior Pastors. It is a power-packed arena where God’s Presence, Principles and Power are at work for the salvation, healing and restoration of human destinies and dignities

Machi 05, 2021

UNAFANYA NINI BAADA YA KUSIKIA?


 

Bwana YESU  asifiwe.Ninakukaribisha tena leo tujifunze somo lenye kichwa cha habari kinachosema,UNAFANYA NINI BAADA YA KUSIKIA?

❖ Sote tunajua kuwa Imani chanzo chake ni kusikia sawa na maandiko kutoka kitabu cha warumi 10:17( Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo)kwa hiyo basi habari unayoisikia ndiyo inayoleta Imani kwako.

❖ Maamuzi yako baada ya kusikia yanaweza kukufanya ukabaki hapo hapo ulipo,ukarudi nyuma au ukasonga mbele.Si kila jambo unalosikia ni la kufanyia kazi,mambo mengine ukisikia unatakiwa uyaache kama yalivyo na habari nyingine ukisikia ni za kuzifanyia kazi.Shetani hutumia watu kukuletea habari mbaya kwako za kukukatisha tamaa,kukurudisha nyuma na kukufanya ushindwe kujiamini.Lakini pia hata mazingira yanayokuzunguka yanaweza kuleta  sauti ndani ya akili yako ambayo ikaleta hofu na mashaka na kukurudisha nyuma.

❖ Habari mbaya za kukatisha tamaa zikija kwako hupaswi kuziweka akili mwako na kuziamini kwa sababu zimekuja kwa kusudi la kukuangusha.watu wanaweza kuja kwako na kukuambia kuwa huwezi kufanikiwa,wengine watasema huwezi kupata kazi,wengine watasema huwezi kuoa au kuolewa,wengine watasema kuwa umelaaniwa,wengine watasema kuwa huna akili.swali linakuja je wakikuambia hivyo unafanya nini?utawaamini na kuanza kuogopa,utapuuza maneno yao na kusonga mbele au utabaki tu ukilia na ukiona kuwa basi imekwisha.

❖ 1samweli 17;10-11 ( Yule Mfilisti akasema, Nayatukana leo majeshi ya Israeli; nipeni mtu tupigane.Basi Sauli na Israeli wote waliposikia maneno hayo ya Mfilisti, wakafadhaika na kuogopa sana)Ukisoma habari hizi utaona kuwa kilichowafanya waisraeli kufadhaika na kuogopa ni baada ya kusikia vitisho kutoka kwa Goliati.lakini sio kwamba waisrael walikuwa hawawezi kumpiga Goliati ,walikuwa na uwezo huo kwa kuwa Mungu aliwaahidi kuwa atakuwa nao siku zote.

❖ Ukisoma sura hiyo mstari wa 24 ..( Na watu wote wa Israeli walipomwona yule mtu wakakimbia, wakaogopa sana.)hapa utaona kuwa baada ya kuingiwa na hofu wakachukua hatua ya kumkimbia)

❖ Unatakiwa ujiamini pale unapokuwa  Na Mungu, habari mbaya ikija kwako isikufanye ukapoteza tumaini.Unamchukuliaje Mungu unayemuabudu?kwani kuna Neno la Kumshinda Mungu?

❖ 1samweli17:32 (Daudi akamwambia Sauli, Asizimie moyo mtu ye yote kwa ajili ya huyu; mimi mtumishi wako nitakwenda kupigana na Mfilisti huyu.).Ikija habari mbaya kwako ya kukutia hofu unapaswa kusimama imara wala usizimie Moyo

 

Yote yanawezekana kwako Mtumishi wa Mungu maana Mungu ndiye anayekutia nguvu siku zote.

 

Mungu akubariki sana

 

Apostle Daniel

Jumanne, 2 Machi 2021

Machi 02, 2021

HAKUNA JAMBO GUMU LISILO NA MWISHO




Bwana Yesu asifiwe wana wa Mungu.leo nitasema na wewe Neno la Mungu lenye kichwa kinachosema(hakuna jambo gumu lisilo na mwisho)

✳️Katika maisha tunayoishi wapo watu ambao wanapitia changamoto mbali mbali,wapo ambao wamekata tamaa na kurudi nyuma,wapo ambao bado wanasonga mbele na wapo ambao wameshindwa na kuamua kurudi nyuma.

✳️Mungu anajifunua kuwa yeye ni Alfa na Omega(Mwanzo na Mwisho)akimaanisha kuwa yeye anajua mwanzo wetu na anajua mwisho wetu.Yeye Mungu yupo nasi katika kipindi chote tunachopitia

✅Kwa hiyo basi lazima uelewe kuwa hakuna mateso yasiyo na kikomo,Mungu hawezi kuruhusu upitie shida na mateso siku zote kwa kuwa yeye Mungu ni pendo.

✅Kumb 2:3

3 Mlivyouzunguka mlima huu vyatosha; geukeni upande wa kaskazini.Maandiko hayo yanaonesha kuwa waisrael walitumia mda mwingi kuzunguka milima ya Seiri lakini wakati wao ulifika na Mungu akawaambia kuwa imetosha kuzunga katika mlima huo.

✅Wewe unayesoma ujumbe huu nakuambia kuwa kuna wakati wako ambao utafika ambapo hutopata mateso uliyopata awali bali Mungu atakukumbuka na kukuinua

✅Kuna ambao wanafikiri kuwa Mungu amewaacha eti kwa sababu wanapitia mateso makubwa yasiyoisha.Mungu hawezi kukuacha na ameahidi kuwa hatokuacha

✅Wakati wako unakwenda kufika ambapo Mungu atakufuta machozi,Mungu anakwenda kuondoa aibu yako,Mungu anakwenda kukuheshimisha ple ulipodharauliwa.


Mungu akubariki sana


Apostle Daniel

Machi 02, 2021

Mungu Yupo Nawe Katika Njia Unayopitia

 




Bwana Yesu asifiwe


Mathayo 16

21 Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka.


22 Petro akamchukua, akaanza kumkemea, akisema, Hasha, Bwana, hayo hayatakupata.


23 Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu


✅Ukisoma hayo maandiko utaona kuwa Bwana Yesu alijua kuwa lazima apitie mateso ili afe halafu afufuke ndipo apate ushindi na ndipo mimi na wewe tufanyike kuwa wafalme ✅Lakini Petro alimwambia Yesu kuwa hayo hayatompata.Kwa hiyo tunajifunza kuwa wengine ili wainuliwe ni lazima wapitie mateso kwanza ndipo wawe katika viwango vipya na waingie katika msimu mpya wa mafanikio.kwa hiyo shetan anaweza akamtumia mtu ukaona kuwa anakupa msaada lakini kumbe anafanyika kikwazo kwako usiende mbele.mwingine anaweza kuja kwa lengo la kukupa ushauri mbaya,mwingine anaweza kukwambia kuwa wokovu hauna faida yoyote,kuwa makini sana na watu wanaokuja kwako ukiwa unapita kwenye hali ngumu ya maisha.


✅Mtumishi wa Mungu unatakiwa ujue kuwa kila mtu ana njia yake ya mafanikio.kuna wengine njia zao ni moto,wengine njia zao ni mito ya maji,wengine katika njia zao kuna ukuta.kwa hiyo ili wafanikiwe lazima wapite katika njia hizo ngumu.Na kama wakiamua kutafuta njia zenye wepesi kamwe hawatoshinda watabaki palepale.


✅Njia ya kumpa ushindi Bwana Yesu ilikuwa ni mateso,kuaibika,kudharauliwa,kutemewa mate.lakini ndio njia aliyoandaliwa ili tupate ushindi ✳️Ufunuo 2:10

10 Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima.


✅ukisoma hayo maandiko utaona kuwa kuna wengine ni lazima wapite kwenye gereza la mateso maana ndio njia yao ya kuinuliwa.maandiko yanasema tuwe waaminifu hata kufa,maana yake tusikate tamaa hata kama kila kitu kikiharibika.


✅Unajua ukiwa mtu wa mwilini huwezi kumpendeza Mungu kwa sababu miili yetu inataka tumkosee Mungu.ili uwe mshindi unatakiwa roho yako iwe na nguvu kuliko mwili wako.kwa hiyo Mungu anataka tuwe waaminifu hata mauti anamaanisha kuwa tufikie mahala miili yetu isitudanganye,tufike mahala miili yetu isituambie turudi nyuma,ifike mahala miili yetu isituambie tumuache Mungu eti kisa 

changamoto.mwili wako unapokufa na roho yako ikajawa na Roho mtakatifu ukaweza kuushinda mwili ndipo utakapouona utukufu wa Mungu 

✅Yusuphu ilikuwa lazima apitie gerezani ili aje kuwa mkuu katika nchi ya misri.kama asingepitia gereza maana yake asingekuwa mkuu,kwa hiyo kama ningekuwepo kipindi kile na kumkataza asiingie gerezani maana yake ningekuwa nataka Yusuphu asiwe mkuu

 ✅Ifikie kipindi mwambie Mungu kuwa "hata kama nipo gerezani Baba sitokuacha,mwambie Mungu kuwa hata kama napitia mateso sitokuacha"

✅Songa mbele mtumishi wa Mungu,utashinda hata kama unapitia moto ✳️Isaya 43:2

2 Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza

 ✅Kama wewe njia yako ni kwenye maji Mengi Mungu yupo nawe 

✅kama njia yako ni kwenye mito haitakugharikisha

 ✅kama njia yako ni kwenye moto hautateketea 

✅na kama unapita kwenye mwali wa moto hautokuunguza 


✳️kila njia upitayo Mungu yupo na wewe✳️


          Mungu akubariki sana 


                        Apostle Daniel


Jumatano, 26 Agosti 2020

Agosti 26, 2020

SOMO: YOTE YANAWEZEKANA KWA MUNGU



MWALIMU: MTUME DANIEL STANSLAUS
        Bwana Yesu asifiwe.Ninakukaribisha  tujifunze somo lenye kichwa cha habari kinachosema YOTE YANAWEZEKANA KWA MUNGU .
        Hakuna jambo lolote lile ambalo Mungu hawezi kulifanya katika maisha yako. Mungu ni muweza wa Yote na hajawahi kushindwa na  hawezi kushindwa kufanya lolote katika maisha yako.(Mwanzo 1:1Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi)Maandiko yanaonyesha kuwa kila kitu kiliumbwa na Mungu,kwa hiyo Mungu anao uwezo wa kufanya jambo lolote lile na hakuna cha kumshinda.Aliweza kufanya uumbaji kwa kutumia Neno lake na kila alichosema kilitokea kwa hiyo  Neno la Mungu lina uwezo wa kufanya jambo lolote katika maisha yako hata kama hilo jambo unaliona kuwa lina ugumu kwake Mungu yote yanawezekana.Neno la Mungu haliangalii mazingira yanasemaje ili litimie bali linatimia bila kujali mazingira unayopitia (Mwanzo 1:3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru)
        Luka1:34-37Mariamu akamwambia malaika, Litakuwaje neno hili, maana sijui mume? Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu. Tena, tazama, jamaa yako Elisabeti naye amechukua mimba ya mtoto mwanamume katika uzee wake; na mwezi huu ni wa sita kwake yeye aliyeitwa tasa;kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu)Maandiko haya yanaonyesha kuwa Mariamu alikuwa na mtazamo wa kibanadamu na kuona kuwa kuchukua Mimba haiwezekani hadi amjue mume lakini kumbe Roho wa Mungu anauwezo wa kufanya jambo lolote.Mungu anachofanya ni kuhakikisha kuwa Neno lake linatimia bila kuangalia mazingira yanasemaje.Inawezekana una magonjwa ambayo madaktari wamesema kuwa hauwezi kupona,inawezekana watu wameshakata tamaa na maisha yako, inawezekana mateso unayopitia ni makubwa na unajiona kuwa unakaribia kufa lakini pia inawezekana jamii imekutenga au umeachwa kutokana na hali mbaya ya maisha unayopitia.Mungu wetu anaweza yote na anahangaikia maisha yako, Usikate tamaa kwa sababu Mungu anaishi na anayaona mateso unayopitia na atakusaidia na kukutoa kwenye mateso na kukuingiza kwenye maisha yenye raha na amani.Zaburi 113:7-9 Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, Na kumpandisha maskini kutoka jaani.Amketishe pamoja na wakuu, Pamoja na wakuu wa watu wake. Huweka nyumbani mwanamke aliye tasa, Awe mama ya watoto mwenye furaha)Maandiko yanaonyesha kuwa ni tabia ya Mungu kumtoa mtu kutoka katika hali ya chini na kumuinua,tena amesema hata mwanamke akiwa tasa yeye Mungu anaweza kumpa watoto tena watoto wengi kwa hiyo usiogope yeye Mungu anaweza kufanya mambo yote.Mungu anachofanya ni kuhakikisha kuwa Neno lake au ahadi zake juu ya maisha yako zinatimia kwa hiyo atakupigania hadi pale ushindi wako utakapoupata,tena katika maandiko amesema kuwa yeye halali wala asinzii kwa ajili ya maisha yetu na kuhakikisha kuwa hakuna linashondikana katika maisha tunayoishi. (Isaya 62 : 1Kwa ajili ya Sayuni sitanyamaza, na kwa ajili ya Yerusalemu sitatulia, hata haki yake itakapotokea kama mwangaza, na wokovu wake kama taa iwakayo)
        Tunapaswa kujua kuwa Mungu ana njia zake ambazo hutumia ili kutupatia mahitaji yetu,kuna wakati njia za Mungu zinachukua mda  mrefu katika kutupatia majibu,na wakati mwingine njia za Mungu huwa zina majaribu Mengi na mazingira magumu ambapo inapelekea wanadamu kuona kuwa haiwezekani tena kufanikiwa.Njia za Mungu ni bora kuliko njia zote hata kama zinaumiza kwa sababu matokeo yake huwa ni mazuri sana yenye kumpa Mungu heshima na utukufu.Njia za Mungu sio za mwanadamu na mawazo ya Mungu sio sawa na ya mwanadamu.Isaya 55:8-9 Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema Bwana.Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.
        Ndugu yangu nataka nikuhakikishie kuwa Mungu wetu anaweza  mambo yote na hakuna jambo gumu kwake,ni wajibu wako kuendelea kuweka juhudi katika mambo yako lakini pia usiache kumuamini, kumtumaini na kumpa nafasi katika maisha yako ili uanze kuona mabo yote yakiwezekana katika maisha yako
Mungu akubariki sana
Kwa ushauri na maombezi unaweza kunipata kupitia namba hii  ambayo pia ina whatsapp 0756277095


Agosti 26, 2020

Somo : Kusikiliza Sauti ya Mungu na Kumkaribisha Bwana



Mwenyezi Mungu anasema, “Watu wengi wanaweza kukosa kujali kuhusu kile Ninachosema, lakini bado Nataka kumwambia kila anayeidaiwa kuwa mtakatifu wa Mungu anayemfuata Yesu kwamba, mtakapoona Yesu Akishuka kutoka juu mbinguni juu ya wingu jeupe kwa macho yenu wenyewe, huu ndio utakuwa mwonekano wa umma wa Jua la haki. Pengine huo utakuwa wakati wa furaha kubwa kwako, ilhali lazima ujue kuwa wakati utakaposhuhudia Yesu Akishuka kutoka mbinguni ndio pia wakati ambapo utaenda chini kuzimu kuadhibiwa. Huo ndio utakuwa wakati wa mwisho wa mpango wa Mungu wa usimamizi na ndio utakuwa wakati ambapo Mungu atawatunukia wazuri na kuwaadhibu waovu. Kwani hukumu ya Mungu itakuwa imeisha kabla ya mwanadamu kuona ishara, wakati kuna onyesho la ukweli tu. Wale wanaokubali ukweli na hawatafuti ishara, na hivyo wametakaswa, watakuwa wamerudi mbele za kiti cha enzi cha Mungu na kuingia katika kumbatio la Muumba. Ni wale tu ambao wanashikilia imani kwamba ‘Yesu Asiyeshuka juu ya wingu jeupe ni Kristo wa uongo’ watakabiliwa na adhabu ya milele, kwani wanaamini tu katika Yesu ambaye Anaonyesha ishara, lakini hawamkubali Yesu Anayetangaza hukumu kali na Anatoa njia ya kweli ya uzima. Na hivyo itakuwa tu kuwa Yesu Atawashughulikia tu Atakaporejea wazi wazi juu ya wingu jeupe” (Neno Laonekana katika Mwili). Maneno ya Mungu yanafichua kuwa, kosa kubwa zaidi ambalo waumini hufanya katika kumkaribisha Bwana, ni kushikilia maana ya wazi ya Andiko, na kumsubiri Arudi akiwa juu ya wingu. Hata wanaposikia kwamba Amerudi na Anafanya kazi ya hukumu katika siku za mwisho, wao hawatafuti au kujaribu kusikiliza sauti ya Mungu. Hakuna anayefikiri kwamba watu watakapomwona Bwana Yesu akishuka juu ya wingu, kazi ya Mungu ya kuwaokoa wanadamu tayari itakuwa imemalizika. Watakuwa wakilia na kusaga meno yao. Kushikilia mawazo bila kutafuta ukweli ni hatari sana! Kwa sababu ya kushikilia mawazo zangu mwenyewe, karibu nikose nafasi yangu ya kumkaribisha Bwana.

Nilikuwa mhubiri katika kanisa la nyumbani. Kufikia waka wa 1996, nilihisi mtupu sana kiroho kiasi kwamba nilikuwa nikisikiliza mahubiri mengine. Na nilisikia, kwamba Umeme wa Mashariki lilishuhudia kwamba Bwana alikuwa Amerejea katika mwili, kwamba Alikuwa akifanya kazi ya hukumu ya siku za mwisho, ndugu wengine tayari walikuwa, wamejiunga na Umeme wa Mashariki. Nilistaajabu na kuwaza, “Bwana amerudi? Inawezekanaje? Biblia inasema, ‘Ninyi wanadamu wa Galilaya, mbona mnasimama mkiangalia mbinguni? huyu Yesu, ambaye amechukuliwa kutoka kwa ninyi kwenda mbinguni, atakuja kwa namna hiyo hiyo ambayo mmemuona akienda mbinguni’ (Matendo 1:11). Bwana anapaswa kurudi juu ya wingu kama mwili Wake wa kiroho uliofufuka. Kwa kuwa hatujawahi kuona kitu kama hicho, mtu yeyote anawezeje kusema kwamba Amerudi? Habari hiyo inayohusu kazi ya Mungu ya hukumu katika mwili, haiaminiki.” Kwa hivyo sikuwahi kusikiliza mahubiri ya Umeme wa Mashariki.

Siku moja, Ndugu Wang aliwaleta wahubiri wengine kanisani kwetu. Alisema kwamba mahubiri yao yalikuwa na nuru ya Roho Mtakatifu na kwamba sote tungejifunza jambo. Nilisisimuka na niliwaalika wale ndugu wengine. Katika mkutano huo, dada wawili waliunganisha Biblia na ushirika wao juu ya maana ya kazi ya Mungu katika Enzi ya Sheria, na ya Neema. Walizungumza kuhusu jinsi tunavyoishi katika mzunguko mwovu wa kufanya dhambi na kukiri, jinsi tulivyo wachafu na wasiostahili kumwona Bwana, na jinsi Biblia ilivyosema kwamba Bwana atatuhukumu na kututakasa Atakaporudi katika siku za mwisho ili kutatua asili yetu ya dhambi. Hivyo ndivyo tutavyokombolewa toka katika dhambi na tutakavyostahili ufalme wa mbinguni. Bwana Yesu alisema, “Bado ningali nayo mengi ya kuwaambieni, lakini hivi sasa hamwezi kuyavumilia. Hata hivyo, wakati Yeye, Roho wa ukweli, atakapokuja, Atawaongoza hadi kwenye ukweli wote” (Yohana 16:12-13). Na pia: “Kwa kuwa mimi sikuja ili niihukumu dunia, bali kuiokoa dunia. Yeye ambaye ananikataa Mimi, na hayakubali maneno Yangu, ana yule ambaye anamhukumu: neno hilo ambalo nimelisema, ndilo hilo ambalo litamhukumu katika siku ya mwisho” (Yohana 12:47-48). Katika miaka yangu kumi ya imani, sikuwahi kusikia ushirika kama huo. Nilihitaji kusikia zaidi, kwa hivyo niliwaalika kina dada hao nyumbani kwangu ili nisikie ushirika zaidi. Dada mmoja alizungumza juu ya maneno ya Mungu, “Ngurumo Saba Zatoa Sauti—Zikitabiri Kuwa Injili ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni.” Alisema kwamba Bwana Yesu alikuwa Amerudi, kama Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho. Niliposikia maneno ya Mungu yakitaja “Umeme unamulika moja kwa moja kutoka Mashariki kwenda Magharibi,” niligundua kwamba huu ulikuwa Umeme wa Mashariki. Na nilishtuka na kusikitika pia. Inawezekanaje? Sikuwa nimesikia mahubiri kama hayo ya kutia nuru kwa miaka mingi. Nilikuwa nimefurahia sana, nikifikiri kwamba nilikuwa nimepata kazi ya Roho Mtakatifu na kupata riziki ya maji yaliyo hai. Lakini ilikuwa Umeme wa Mashariki! Imeandikwa katika Biblia kwamba Bwana atarudi katika umbo Lake la kiroho, na kutupeleka mbinguni moja kwa moja. Je, wanawezaje kusema kwamba Bwana alikuwa Amerudi akiwa mwenye mwili? Sikuelewa hayo. Sikutaka kusikia neno lingine. Iwapo ningewaacha wanipotoshe, nilidhani kwamba miaka yangu ya imani ingekuwa bure. Na nilitaka tu kuwasindikiza waondoke. Lakini hata hivyo, baada ya kuwa pamoja nao kwa wiki mbili, nilikuwa nimeona kwamba waliishi kwa kudhihirisha ubinadamu mzuri. Na ilikuwa katikati ya msimu wa baridi kwa hivyo kulikuwa na baridi kali, na ilikuwa usiku wa manane. Nilihisi kwamba kuwafukuza kungekuwa ukatili. Nilichanganyikiwa sana kwa muda. Sikujua mapenzi ya Mungu yalikuwa yapi na nilikanganyikiwa. Nilitoa kisingizio cha kwenda chumbani mwangu na nikamwomba Bwana: “Ee Bwana, ushirika wa kina dada hawa hakika una mwanga, lakini ninaogopa kupotoshwa. Nimepotea sana na sijui jinsi ya kujibu. Bwana, tafadhali nionyeshe njia.” Kisha nikakumbuka kwamba Bwana Yesu alitufundisha tuwatendee watu kwa upendo. Kuwafukuza kusingekubaliana na mapenzi ya Mungu. Mapenzi ya Bwana yalikuwa niwaache wakae.

Nilipowakabili wale dada wawili, nilizidiwa sana na hisia. Sikuweza kujituliza. Nilijua kwamba ushirika wao ulitia nuru, na kwamba ulitoka kwa Roho Mtakatifu, lakini ushirika wao kwamba Mungu alikuwa tayari Amerudi katika mwili ulitofautiana na mawazo yangu. Kwa hivyo nilifikiri kwamba nilipaswa tu kuwauliza swali langu. Na kwa hivyo, niliwauliza: “Mnashuhudia kwamba Bwana Yesu amerudi katika mwili. Lakini siwezi kuwaamini. Imeandikwa katika Biblia, ‘Ninyi wanadamu wa Galilaya, mbona mnasimama mkiangalia mbinguni? huyu Yesu, ambaye amechukuliwa kutoka kwa ninyi kwenda mbinguni, atakuja kwa namna hiyo hiyo ambayo mmemuona akienda mbinguni’ (Matendo 1:11). Ni mwili wa kiroho wa Bwana, ambao uliopaa mbinguni, na kwa hivyo mwili Wake wa kiroho ndio Utakaorudi juu ya wingu. Kwa hivyo mnawezaje kusema kwamba Amerudi katika mwili?”

Nilipata jibu langu kutoka kwa Dada Li. “Unabii mwingi wa Biblia huzungumza kuhusu Bwana kurudi katika mwili. Bwana Yesu alisema: ‘Kwa kuwa kama umeme unavyotokea mashariki, na kumulika pia magharibi; ujio wa Mwana wa Adamu utakawa hivyo pia’ (Mathayo 24:27). ‘Na ninyi pia muwe tayari: maana katika saa kama hii msiyofikiria kuwa Mwana wa Adamu atakuja’ (Luka 12:40). ‘Kwani kama umeme, unavyomulika chini ya mbingu kutoka sehemu moja, huangaza hadi sehemu nyingine chini ya mbingu; vivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakuwa katika siku yake. Bali kwanza lazima apitie mambo mengi, na akataliwe na kizazi hiki’ (Luka 17:24-25). Maneno ya Mungu yanataja ‘Mwana wa Adamu’ na ‘ujio wa Mwana wa Adamu.’ Maneno ‘Mwana wa Adamu’ yanamaanisha Yule ambaye Amezaliwa na mwanadamu, na Aliye na ubinadamu wa kawaida. Katika umbo Lake la kiroho, hawezi kuitwa ‘Mwana wa Adamu.’ Yehova Mungu ni Roho; Hawezi kuitwa, ‘Mwana wa Adamu.’ Malaika ni roho na hawaitwi ‘Mwana wa Adamu.’ Bwana Yesu aliitwa Kristo, Mwana wa Adamu, kwa sababu Yeye alikuwa Roho wa Mungu mwenye mwili, na Ana ubinadamu wa kawaida.” “Kwa hivyo Bwana Yesu aliposema: ‘ujio wa Mwana wa Adamu’ na ‘Mwana wa binadamu anakuja,’ Alimaanisha kuwa Bwana atarudi, katika mwili katika siku za mwisho.”

Kusikiliza Sauti ya Mungu na Kumkaribisha Bwana

Dada Zhou alisema, “Bwana Yesu alitabiri kurudi Kwake mwenyewe: ‘Bali kwanza lazima apitie mambo mengi, na akataliwe na kizazi hiki.’ Mungu anafanya kazi katika mwili kama Mwana wa Adamu katika siku za mwisho. Watu hawamtambui kama Kristo na wanamchukulia kama mtu wa kawaida. Wale ambao hawapendi ukweli au wasiotafuta kusikia sauti ya Mungu kwa kweli wanampinga na kumkana Kristo. Ulimwengu wa kidini na utawala wa Shetani pia unamshutumu na kumkataa Kristo. Na hii inatimiza unabii: ‘Bali kwanza lazima apitie mambo mengi, na akataliwe na kizazi hiki.’ Kama Bwana angekuja katika umbo Lake la kiroho katika siku za mwisho Akiwa juu ya wingu na kwa utukufu, bila shaka kila mtu angeanguka mbele Yake. Je, unabii huu unaweza kutimia?”

Kisha nilianza kuelewa kwamba kama Bwana angeonekana katika umbo Lake la kiroho katika siku za mwisho, hakuna mtu ambaye angeenda kinyume na Yeye, bali wote wangemfuata. Basi unabii huu, “Bali kwanza lazima apitie mambo mengi, na akataliwe na kizazi hiki.” usingetimia. Nilifikiria jinsi Umeme wa Mashariki unavyoshuhudia kwamba Bwana Yesu amerudi na ulimwengu wa dini na CCP wanashutumu hilo. Je, hiyo haitimizi unabii wa Bwana wa kukataliwa? Kwa hivyo, Mwenyezi Mungu anaweza kuwa Bwana Yesu aliyerudi? Bado sikuelewa kabisa. Biblia kweli inatabiri kuja kwa Mwana wa Adamu, lakini Bwana pia alisema: “Tazama, anakuja na mawingu; nalo kila jicho litamwona yeye, na pia wale waliomdunga: na makabila yote ya ulimwengu yatalia kwa huzuni kwa sababu ya yeye” (Ufunuo 1:7). Nilikanganyikiwa.

Kwa hivyo niliwaambia kuhusu jinsi nilivyokanganyikiwa na Dada Li akaniambia: “Bwana ni mwaminifu. Kwa hivyo, kila neno Lake litatimia. Ni suala la wakati tu sasa. Kuna unabii mwingi unaohusu kurudi Kwake. Mbali na Yeye kuja juu ya wingu, kuna pia unabii juu Yake kuwa mwili na kuja kwa siri. Kwa mfano Bwana alisema ‘Tazama, mimi nakuja kama mwizi’ (Ufunuo 16:15). ‘Na kukawa na kelele saa sita ya usiku, Tazama, anakuja bwana arusi; ondokeni nje ili kumkaribisha’ (Mathayo 25:6). ‘Lakini juu ya hiyo siku na saa hiyo hakuna mtu anayejua, wala malaika wa mbinguni, isipokuwa Baba yangu tu’ (Mathayo 24:36). Na Bwana aliposema ‘kama mwizi,’ ‘Na kukawa na kelele saa sita ya usiku,’ na ‘Lakini juu ya hiyo siku na saa hiyo hakuna mtu anayejua,’ Alikuwa akizungumza kuhusu kurudi kwa siri. Katika siku za mwisho, Bwana anarudi kwa njia mbili tofauti sana. Anapata mwili kwa siri kama Mwana wa Adamu na pia Anarudi kwetu hadharani juu ya wingu. Hiyo inamaanisha kwamba, kwanza Anarudi kwetu katika mwili sirini ili kuwahukumu wanadamu kwa ukweli na kufanyiza kundi la washindi kabla ya maafa. Atakapomaliza kuwaokoa wanadamu kwa siri, maafa yatatokea na, Atawatuza wema na kuwaadhibu waovu. Wakati huo tu ndipo Mungu atajidhihirisha kwa mataifa yote na watu wote. Wakati huo ndipo unabii wa Bwana kuja hadharani utakapotimia.” “Wote wanaokubali kazi ya hukumu ya Mwenyezi Mungu na wanaotakaswa upotovu wao, watalindwa na Mungu, wataokolewa na wataingia katika ufalme wa Mungu.” “Lakini wale wanaokataa kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho, wanaoipinga na kuishutumu, watakuwa wakilia na kusaga meno yao na kuadhibiwa. Na unabii huu utatimia: ‘Tazama, anakuja na mawingu; nalo kila jicho litamwona yeye, na pia wale waliomdunga: na makabila yote ya ulimwengu yatalia kwa huzuni kwa sababu ya yeye’ (Ufunuo 1:7).” Kisha alisoma maneno haya ya Mwenyezi Mungu. “Watu wengi wanaweza kukosa kujali kuhusu kile Ninachosema, lakini bado Nataka kumwambia kila anayeidaiwa kuwa mtakatifu wa Mungu anayemfuata Yesu kwamba, mtakapoona Yesu Akishuka kutoka juu mbinguni juu ya wingu jeupe kwa macho yenu wenyewe, huu ndio utakuwa mwonekano wa umma wa Jua la haki. Pengine huo utakuwa wakati wa furaha kubwa kwako, ilhali lazima ujue kuwa wakati utakaposhuhudia Yesu Akishuka kutoka mbinguni ndio pia wakati ambapo utaenda chini kuzimu kuadhibiwa. Huo ndio utakuwa wakati wa mwisho wa mpango wa Mungu wa usimamizi na ndio utakuwa wakati ambapo Mungu atawatunukia wazuri na kuwaadhibu waovu. Kwani hukumu ya Mungu itakuwa imeisha kabla ya mwanadamu kuona ishara, wakati kuna onyesho la ukweli tu” (Neno Laonekana katika Mwili).

Macho yangu yalifunguliwa ghafla. Kurudi kwa Bwana kunafanyika kwa hatua. Kwanza Anapata mwili na Ananena na kufanya kazi kwa siri, kisha Anarudi juu ya wingu hadharani. Nilikuwa nikiwekea mipaka kuja kwa Bwana hadharani tu kwa sababu ya fikira na mawazo yangu. Nilikosea. Sikuthubutu kushikilia mawazo yangu na nilikumbuka maneno ya Bwana. “Kwa sababu kila anayeomba hupata; na yeye ambaye hutafuta hupata; na apigaye hodi atafunguliwa” (Mathayo 7:8). Sasa kwa kuwa nilikabiliwa na kurudi kwa Bwana, ilibidi niwe na moyo umchao Mungu na nitafute kwa dhati. Haya ni mapenzi ya Mungu. La sivyo, ningeondolewa na Bwana! Kisha niliwauliza, “Ikiwa Bwana kwanza anakuwa mwili ili Afanye kazi kwa siri. tunawezaje kuwa na hakika kwamba Mwenyezi Mungu ni Mungu katika mwili, Kristo wa siku za mwisho?”

Kisha Dada Li alijibu kwa furaha sana, “Kwa maelfu ya miaka, hakuna mtu ambaye ameelewa siri hii juu ya kupata mwili kwa Mungu kunamaanisha nini hasa.” “Na sasa, Mwenyezi Mungu ametufunulia siri hii.” Kisha alisoma vifungu vifuatavyo. “Maana ya kupata mwili ni kwamba Mungu Anajionyesha katika mwili, na Anakuja kufanya kazi miongoni mwa wanadamu wa uumbaji Wake katika umbo la mwili. Hivyo, ili Mungu kuwa mwili, ni lazima kwanza Apate umbo la mwili, mwili wenye ubinadamu wa kawaida; hili ndilo hitaji la kimsingi zaidi. Kwa kweli, maana ya kupata mwili kwa Mungu ni kwamba Mungu Anaishi na kufanya kazi katika mwili, Mungu katika kiini Chake Anakuwa mwili, Anakuwa mwanadamu.” “Kupata mwili kunamaanisha kwamba Roho wa Mungu Anakuwa Mwili, yaani, Mungu Anakuwa mwili; kazi Anayoifanya katika mwili ni kazi ya Roho, inayothibitika katika mwili, na kuonyeshwa kwa mwili. Hakuna mwingine ila tu mwili wa Mungu Anayeweza kutimiza huduma ya Mungu mwenye mwili; yaani, mwili wa Mungu kuwa mwili pekee, ubinadamu huu wa kawaida—na hakuna mwingine yeyote—anayeweza kuonyesha kazi ya uungu.” “Mungu mwenye mwili Anaitwa Kristo, na Kristo ni mwili uliovishwa na Roho wa Mungu. Mwili huu ni tofauti na wa mwanadamu yeyote aliye wa nyama. Tofauti hii ni kwa sababu Kristo sio wa mwili na damu bali ni mwili wa Roho. Anao ubinadamu wa kawaida na uungu kamili. Uungu Wake haujamilikiwa na mwanadamu yeyote. Ubinadamu Wake wa kawaida unaendeleza shughuli Zake zote za kawaida katika mwili, wakati uungu Wake unafanya kazi ya Mungu Mwenyewe.” “Yeye Aliye mwili wa Mungu Atakuwa na dutu ya Mungu, na Yule Aliye Mungu katika mwili Atakuwa na maonyesho ya Mungu. Kwa maana Mungu Hupata mwili, Ataleta mbele kazi Anayopaswa kufanya, na kwa maana Mungu Amepata mwili, Ataonyesha kile Alicho na Ataweza kuuleta ukweli kwa mwanadamu, kumpa mwanadamu uhai, na Amwonyeshe mwanadamu njia. Mwili usio na dutu ya Mungu kwa kweli sio Mungu mwenye mwili; kwa hili hakuna tashwishi. Kupeleleza kama kweli ni mwili wa Mungu mwenye Mwili, mwanadamu lazima aamue haya kutoka kwa tabia Yeye huonyesha na maneno Yeye hunena. Ambayo ni kusema, kama ni mwili wa Mungu mwenye mwili au la, na kama ni njia ya kweli au la, lazima iamuliwe kutokana na dutu Yake. Hivyo, katika kudadisi iwapo ni mwili wa Mungu mwenye mwili, cha msingi ni kuwa makini kuhusu dutu Yake (Kazi Yake, maneno Yake, tabia Yake, na mengine mengi), bali sio hali ya sura Yake ya nje. Mwanadamu akiona tu sura Yake ya nje, na aipuuze dutu Yake, basi hilo linaonyesha upumbavu na ujinga wa mwanadamu” (Neno Laonekana katika Mwili).

Dada Li aliendelea: “Kristo kwa kweli ni Mungu katika mwili. Yeye ni Roho wa Mungu aliyevalia mwili, ambaye Amekuwa mtu wa kawaida, Akifanya kazi na kunena maneno miongoni mwa wanadamu. Mungu mwenye mwili Anaonekana kama mtu wa kawaida, si mtu wa hali ya juu au wa mwujiza. Ana mantiki na hisia zote za mtu wa kawaida. Yeye hata huingiliana na watu pia. Tofauti ni kwamba, mbali na kuwa na ubinadamu wa kawaida, Yeye pia ana kiini cha Mungu. Kristo anaweza kufanya kazi ya Mungu mwenyewe na kutamatisha enzi nzee na kuanzisha mpya. Kiini Chake ni: ukweli, njia, na uzima.” “Anaweza kuonyesha ukweli wakati wowote. Anaweza kuwaruzuku watu na kutatua matatizo yetu, na kutupa njia ya kutenda. Kristo anaweza kufichua siri, kuonyesha tabia ya Mungu, na hekima Yake na uweza Wake. Maneno ya Kristo yanaweza kufanikisha yote. Hakuna mwanadamu anayeweza kufanya hivi.” “Bwana Yesu alionekana kama mtu wa kawaida. Lakini Alikuwa na kiini cha Mungu. Kuonekana Kwake na kazi Yake, vilianzisha Enzi ya Neema na kutamatisha Enzi ya Sheria. Alitupa njia ya toba na kusamehe dhambi zetu, na Alituambia tusamehe sabini mara saba. Alionyesha tabia ya Mungu ya huruma. Pia Alionyesha ishara na miujiza mingi Alipokuwa akifanya kazi, kama vile kuwafanya viwete watembee, kuwaponya vipofu, kutuliza bahari kwa kusema neno moja, kuwafufua wafu, na kuwalisha maelfu ya watu kwa samaki wawili na mikate mitano. Hii ilifichua mamlaka ya Mungu kikamilifu. Kazi na maneno ya Bwana Yesu na tabia ambayo Alionyesha vilikuwa ushahidi mzuri kwamba Yeye kweli alikuwa Mungu katika mwili.” “Ni Mungu pekee Anayeweza kuonyesha ukweli, na kutamatisha enzi nzee na kuanzisha enzi mpya, kuonyesha tabia ya Mungu na hekima Yake. Kando na Mungu, hakuna anayeweza kuonyesha ukweli au kuonyesha kile Mungu alicho, au kufanya kazi Yake. Hivi ndivyo tunavyoamua ikiwa Yeye kwa kweli ni Mungu katika mwili, Kristo wa siku ya mwisho. Jambo la muhimu zaidi ni kuchunguza maneno na kazi ya Kristo. Ikiwa Anaonyesha ukweli, na tabia ya Mungu, na Anafanya kazi ya Mungu, basi Yeye ni Mungu katika mwili. Yeye ni Kristo.”

Kupitia ushirika wake, nilielewa kwamba Mungu katika mwili Anaweza kuonyehsa ukweli, na kufanya kazi ya Mungu. Na huo ndio uhalisi.

Dada Zhou aliongeza: “Hatuwezi kujua ikiwa Mwenyezi Mungu ni Mungu katika mwili kwa kuangalia tu umbo Lake la nje. Lazima tuwe na hakika kutokana na maneno Yake, kazi na tabia Yake. Katika siku za mwisho, Mwenyezi Mungu anafanya kazi ya hukumu, Juu ya msingi wa kazi ya Bwana Yesu ya ukombozi. Ameitamatisha Enzi ya Neema na kuanzisha Enzi ya Ufalme. Mwenyezi Mungu ametamka mamilioni ya maneno. na Ameonyesha mpango wa Mungu wa usimamizi wa miaka 6,000, siri ya Biblia na kupata mwili kwa Mungu. Amefichua jinsi ambavyo Shetani huwapotosha watu na jinsi Mungu anavyowaokoa wanadamu, jinsi Mungu anavyofanya kazi ya kuwahukumu na kuwatakasa watu katika siku za mwisho, jinsi Yeye anavyowaainisha watu kulingana na aina yao na kuamua mwisho na hatima ya watu. Mwenyezi Mungu anaonyesha tabia Yake ambayo kimsingi ni ya haki, Akihukumu na kufunua asili yetu ya kishetani ya kumpinga Mungu na tabia zetu potovu. Anatuonyesha njia ya kuondoa uovu na pia kutakaswa.” Dada Zhou pia alishiriki jinsi alivyopitia hukumu. Alisema, “Sikuona jinsi nilivyokuwa mpotovu, hadi nilipohukumiwa na kujaribiwa, kupogolewa, kuadibiwa na kushughulikiwa kupitia maneno ya Mungu. Niliwamini Mwenyezi Mungu lakini bado nilimpinga kwa sababu ya asili yangu potovu na ya kishetani, kama jinsi nilivyopenda kujionyesha na kuwafanya watu waniheshimu. Niliwakaripia wengine mara kwa mara na niliwalazimisha wafanye kile nilichosema. Nilidanganya kila wakati ili kulinda masilahi yangu mwenyewe, na kadhalika. Kupitia hukumu ya maneno ya Mungu, nilianza kumcha moyoni mwangu kwa sababu ya tabia Yake ya haki. Pia nilianza kulenga kutenda ukweli ili kutatua asili yangu ya kishetani. Kulikuwa na mabadiliko kidogo katika tabia yangu. Je, matokeo ya maneno na kazi ya Mwenyezi Mungu hayatoshi kuthibitisha kwamba Yeye ni Mungu mwenye mwili, kwamba Yeye ndiye Kristo wa siku za mwisho? Kwamba Yeye ni Mungu katika mwili?”

Ushirika wa dada huyo uliuchangamsha moyo wangu. Jambo la muhimu katika kuthibitisha ikiwa Yeye ni Mwana wa Adamu, Kristo katika mwili ni kuona ikiwa Anaweza kuonyesha maneno na tabia ya Mungu, na iwapo Yeye anaweza kutamatisha enzi nzee na kuanzisha enzi mpya. Mwenyezi Mungu ameonyesha ukweli mwingi na Anafanya kazi ili kuwahukumu na kuwatakasa wanadamu. Ameanzisha Enzi ya Ufalme na kutamatisha Enzi ya Neema. Hakika Yeye ndiye Kristo, kurudi kwa Bwana! Sikuwahi kuelewa ukweli hapo zamani. Nilisubiri tu bila kufikiria Bwana arudi juu ya wingu. Sikujisumbua kutafuta niliposikia kwamba Alikuwa amerudi. Karibu nipoteze nafasi yangu ya kuunganishwa tena na Yeye. Nilikuwa mjinga kama nini!

Baada ya hapo, nilikula maneno ya Mwenyezi Mungu. Na nilijifunza ukweli mwingi ambao sikuwahi kuelewa katika imani yangu hapo awali. Nilikuwa na hakika kwamba Mwenyezi Mungu ndiye Bwana Yesu aliyerudi! Nilishiriki kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho na zaidi ya kina ndugu 100 ambao niliweza kuwasiliana nao. Waliposoma maneno Yake na kusikia sauti Yake, waliguswa sana kiasi kwamba walilia. Walimgeukia Mwenyezi Mungu na walikubali kazi Yake na kuhudhuria karamu ya Mwanakondoo!