Breaking

Jumamosi, 15 Desemba 2018

Audio | Nicebower Daniel – Mwaka huu


Baada ya mwezi novemba kuachia wimbo uitwao No One Like You mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Marekani Nicebower Daniel kwa mara nyingine tena ameachia wimbo wake mpya uitwao Mwaka huu.
Mwaka huu ni wimbo wa kuwatakia heri ya Krismas na mwaka mpya watu wote duniani lakini pia wimbo huu ni wenye kuwatia moyo watu wote ambao wanapita katika magumu mbalimbali ya kimaisha.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utakubariki kwa namna ya kipekee, Ameen.
https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/12/Nicebower-Daniel-Mwaka-hu.mp3

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni