Breaking

Jumamosi, 15 Desemba 2018

Audio | Silvabel Msuya - Usiku Mtakatifu

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kama Silvabel Msuya ameachia wimbo uitwao Usiku Mtakatifu ikiwa ni zawadi maalumu ya Krismasi kwa watu wote.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika utakubariki wakati tunasubiri kumpokea mwana mkombozi Bwana wetu Yesu Kristo, Heri ya Krismasi na mwaka mpya.

https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/12/Silvabel-Msuya-Usiku-Mtakatifu.mp3

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni