Breaking

Jumapili, 6 Januari 2019

Video | Angel Magoti – Asante Bwana

Kutoka kwa mkali wa sauti Angel Magoti ambaye kwa mara nyingine tena leo tumekusogezea video ya wimbo wake uitwao Asante Bwana hii ikiwa ni moja kati ya kazi zake zilizo katika mfufulizo wa kuachiwa kwa mwaka 2018, 2019.

“Tunapozihesabu baraka zetu tangu tuingie mwaka mpya, Tunajihesabu kuwa sisi ni watu tuliobarikiwa sana kwa kuiona siku hii(mwaka huu) na kwa hili tunastahili kutoa shukrani zetu kwa Baba yetu wa Mbinguni ambaye ametubariki kwa zawadi hii ya uhai na maisha, Heri ya mwaka mpya.” – alisema Angel Magoti

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni