Breaking

Jumapili, 6 Januari 2019

Video | Peter Banzi – Ni wewe


Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunaitambulisha kwako video ya wimbo mpya inayokwenda kwa jina la Ni Wewe kutoka kwa mwimbaji na rapa wa nyimbo za Injili maarufu kama Peter Banzi, Video hii ikiwa imeongozwa na director bony albert kutoka studio za B.A.E ENTERTAINMENT.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki kila wakati utakapokuwa unasikiliza na kutazama video ya wimbo huu, Amen.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni