Breaking

Jumamosi, 2 Februari 2019

Video | Sylvia Alexander – Nipe Ujasiri

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya katika huduma ya muziki wa Injili Tanzania anayefahamika kwa kwa jina la Sylvia
Alexander na hii ni video yake ya kwanza kuitambulisha kwa mwaka huu 2019 inayokwenda kwa jina la Nipe Ujasiri.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki, Amen.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni