Kutoka kwenye albamu yake iitwayo Nalitangaza Neno kwa mara ya kwanza tuitambulisha kwako video mpya inayokwenda kwa jina la Tofauti kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Mic Paul.
Video hii imeongozwa na director Debro kutoka Eagle View Pro, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za African Tulag Music chini ya mikono ya prodyuza PG.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki, Amen.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki, Amen.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni