Baada ya kitambo kidogo toka alipoachia wimbo huu uitwao Nirehemu kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 mwimbaji Ben Jonathan ametushushia video ya wimbo huo ikiwa imeongozwa na John Lymo.
“Nirehemu ni wimbo wenye ombi la kumsihi Mungu anitayarishe kwa ajili ya huduma; Kuomba Rehema za Mungu lakini pia uongozi wa Mungu katika kufanya kazi yake. – Alisema Ben
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii ambayo ni hakika kuwa itakubariki kila wakati utakapokuwa unaitazama na kusikiliza wimbo huu, Amen.
Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Ben Jonathan kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 657 994 800
Facebook: Ben Jonathan
Instagram: @benjonathanm
Twittter: @benjonathanm
Youtube: Ben Jonathan
Simu/WhatsApp: +255 657 994 800
Facebook: Ben Jonathan
Instagram: @benjonathanm
Twittter: @benjonathanm
Youtube: Ben Jonathan
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni