AUDIO
Audio: Kebee – Safe
Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea wimbo mzuri wa Ibada uitwao Safe ulioimbwa na mwimbaji Kebee aliye chini ya lebo ya Omni Muzic.
Licha ya hali yoyote unayopitia kabidhi maisha yako kwa Mungu ambaye atakuongoza wewe na kamwe huwezi kuwa na hofu, kukuongoza, huwezi kamwe kuwa na hofu. #SAFE
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni