Breaking

Jumapili, 10 Februari 2019

Video | Ezekia Mwifyusi – Mapito

Kutoka jijini Mbeya kwa mara ya kwanza leo tumekusogezea video ya wimbo uitwao Mapito kutoka kwa mwimbaji  Ezekia Mwifyusi.
Video ya wimbo huu imeongozwa na director Azalia kutoka studio za Aza Media, Muziki ukiwa umetayarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Mwamwaa akishirikiana na Kelvin kutoka studio za T-Motion Music.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Ezekia Mwifyusi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 767 116 112
Facebook: Ezekia Mwifyusi Eliah
Instagram: @ezekia_mwifyusi_eliah
Youtube: Ezekia Mwifyusi Eliah

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni