Breaking

Alhamisi, 20 Desemba 2018

Audio | Martha Mukuka – Kosa(Be Strong)



Kutoka nchini Zambia leo tumekusogezea wimbo mzuri uitwao Kosa kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini humo anayefahamika kwa jina la Martha Mukuka.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni