Breaking

Alhamisi, 20 Desemba 2018

Audio | Mutale Chisanga – Beautiful



Kutoka nchini Zambia leo tumekusogezea wimbo mzuri uitwao Beautiful kutoka kwa mtumishi wa Mungu anayefahamika kwa jina la Mutale Chisanga.
Beautiful ni wimbo wa sifa unaomtukuza Mungu kwa matendo makuu ambayo ametutendea na anayoendelea kututendea kila siku.

Kwa moyo moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika utakubariki sana, Ameen.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni