Breaking

Jumatano, 26 Desemba 2018

Video | Frida Felix – Umetukuka


Baada ya kufanya vizuri mwezi April kupitia wimbo uitwao Wakati kwa mara nyingine tena mwanadada Frida Felix amekuja na video yake nzuri ya wimbo wa kuabudu unaokwenda kwa jina la Umetukuka.


Video hii imeongozwa na director mahiri kabisa kutoka Tanzania anayefahamika kama Yotham lyobha, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Mujwahuki Production chini ya mikono ya prodyuza mahiri anayefahamika kama Mujwahuki.

Hakika video ya wimbo huu itakupa nguvu mpya ya kiroho kila wakati utakapokuwa unaitazama na kusikiliza, Karibu ubarikiwe, Amen.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni