Breaking

Alhamisi, 17 Januari 2019

PRAYER MOVEMENT 2019 WITH CHRISTINA SHUSHO

Prayer movement let's go

1/ omba toba kwa Mungu asamehe dhambi zako zote za mwaka 2018, unazo kumbuka na usizo kumbuka.
2/ ombea mambo yote unayotaka Mungu akutendee in 2019 and beyond, remember to write them down (andika yote unayotaka Mungu akutendee)
3/ ombea your future, jambo lolote la future yako ombea. Kama huja olewa/owa basi ombea mume/mke mtarajiwa , masomo, biashara, elimu ...
4/ jambo moja muhimu kwa binadamu ni kujitambua, Mungu atupe uwezo wa kuanza kujimbua in 2019 ombea hilo pia.
5/ jaza your prayer bank.
6/ ombea Tanzania 🇹🇿, au popote ulipo ombea inchi yako.

Why Christina is going off social media for 14 days?
Naacha kuzikiza wanadamu kwa muda,nataka nisikize Mungu kwanza. (Discipline)

Note/ mambo mengine hayawezekani isipokua kwa kufunga na kuomba, so jiombee.
- write down your prayer request, anything written down ita timia, haipotelei hewani, no matter how long it takes it will come to pass.
Mengine jaza mwenyewe, usi sahau kuni ombea pia. Napenda neema yako.

Kumbuka tar 29/1 hadi 3/2/2019 tuna kutana manzese tip-top. Kila siku kuanzia saa kumi na moja jioni.
Welcome to the dreamers Center fellowship.
Yours faithfully
Christina Shusho
Prezdar 👋

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni