yako kwakua hayo ni mambo ya DUNIA.. Bali yeye HUIESHIMU mioyo imtafutayo yeye katika ROHO na KWELI. . Katika Ibada ya IJUMAA ya MIUJIZA wiki iliyopita Waheshimiwa WABUNGE Ester Bulaya pamoja na Halima Mdee walijumuika nasi kumwabudu BWANA. @bulayaester @halimajmdee
Ijumaa ya wiki hii USIKOSE Ibada itaanza ASUBUHI saa 2:00 WRM nyumba ya UPONYAJI na BARAKA. -Brother Nicolaus Suguye
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni