Breaking

Alhamisi, 17 Januari 2019

KWA MARA NYINGINE TENA NI BOAZ DANKUN

Watu wa Dar es Salaam msikose ibada hii usiku wa Ijumaa Mungu
atatuhudumia sana ni siku ya kipekee sana waimbaj mbali mbali watahudum siku hiyo ukipata taarf hii mtaalifu na mwenzako Mungu atakubaliki

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni