Breaking

Ijumaa, 18 Januari 2019

Video | Christine Kazinja (Hafsa) Feat. Joseph Joel – Kwa Yesu hakuna Presha

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza leo tumekusogezea video ya wimbo uitwao Kwa Yesu hakuna Presha kutoka kwa aliyekuwa mwimbaji wa Bongo Flava na kuamua kumtumikia Mungu huyu si mwingine bali ni Christine Kazinja maarufu kama Hafsa Kazinja hapa akiwa amememshirikisha mwimbaji Joseph Joel.
Video hii imeongozwa na studio za Rehoboth Pictures, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Dg Production.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Hafsa Kazinja kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 753 102 392
Facebook: Christine Kazinja (Hafsa)
Instagram: @christinekazinja
Youtube: NEW HAFSA KAZINJA CRISTINE

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni