Breaking

Ijumaa, 18 Januari 2019

Audio | Jamhury Zacharia – Nikupendeze

Kutoka jijini Da es salaam anaitwa Jamhury Zacharia ambaye kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 ameachia wimbo wake mpya unakwenda kwa jina la Nikupendeze.
Muziki huu umetayarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Lady Jay Records chini ya mikono ya prodyuza Isaac Sakala.
“Asante Yesu kwa kunifanya Wathamani kwako na kunipatia nguvu za kuandika na kuimba wimbo huu uliojaa sifa na shukrani kwa ajili yako nikiwakumbusha watu wako juu ya kukumbuka wema na fadhili zako ambazo ni za ajabu mno katika maisha yetu, Asanteni ndugu jamaa na marafiki, Naomba usisite ku-like, ku-share na ku-comment, Mungu awabariki wote, Amen.” – alisema Jamhury
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na ni hakika kuwa utabarikiwa, Amen.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni