Breaking

Ijumaa, 18 Januari 2019

Video | Isack Japhet Ft Yohana Dezdel_Sijamuona kama wewe

Kutoka kwake Isack Japhet akishirikiana na Yohana amekuja na nyimbo inayokwenda kwa jina la Sijamuona kama yeye, hakika nyimbo hii itakubariki na kugusa maisha yako.


Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu ambao ni hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni