Baada ya kufanya vizuri mwaka 2018 kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania maarufu kama Ritha Komba leo ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Nasimama.
Video hii imeongozwa na @creatorpro5 muziki ukiwa umetayarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za @pushuprecord
“Kwa maana mwenye haki huanguka mara saba akaondoka tena bali wasio haki hukwazwa na mabaya Mithali 24:16. Haijalishi umeanguka mara ngapi au nani amekuangusha jua kuna kuinuka tena simama tena endelea mbele Mungu akubariki sana.” – Ritha Komba
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu ambao ni hakika kuwa utabarikiwa, Amen.
Kwa mialiko ya kihuduma wasiliana na Ritha Komba kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 712 496 727
Facebook: Ritha Komba
Instagram: @rithakomba
outube: Ritha Komba
Simu/WhatsApp: +255 712 496 727
Facebook: Ritha Komba
Instagram: @rithakomba
outube: Ritha Komba
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni