Shangwe Voices ni kundi marufu la waimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Arusha ambalo kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 wameachia wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la Naachaje wakiwa wamemshirikisha Angel Benard na rapa T-More.
Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Harry GB kutoka studio za at ISL na kufanyiwa maboresho ndani ya studio za Aflob chini ya mikono ya prodyuza Alex Lobulu.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika kuwa utabarikiwa, Amen.
Simu/WhatsApp: +255 757 733 373
Facebook: Shangwe Voices
Instagram: @shangwevoices
Youtube: Shangwe Voices
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni