Breaking

Jumatatu, 25 Februari 2019

Video | Isabella – Indescribable

Kutoka nchini Uingereza leo tumeisogeza kwako video mpya inayokwenda kwa jina la Indescribable kutoka kwa mwimbaji maarufu nchini humo anayefahamika kwa jina la
Isabella, Ikiwa ni wimbo unaobeba jina la albamu yake ya saba iliyoachiwa mwaka 2017.
Video hii imeongozwa na director Uvi Orogun (@uviorogun) kutoka studio za Media Mind Universal, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Wilson Joel (@musicmagnate) kutoka studio za Doxology Music.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo kwa hakika itakubariki, Amen.




Social Media Connection:
Facebook: Isabella Melodies
Instagram: @isabellamelodies
Twitter: @isabellamelodies
YouTube: Isabella Melodies

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni