Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza leo tumekusogezea wimbo mpya uitwao Umenishika Yesu kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Beatrice Daniel.
Kwa moyo mkujunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa kila siku, Amen.
Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na Beatrice Daniel kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 714 919 598, +255 769 344 293
Facebook: Beatrice Daniel
Instagram: @beatrice_daniel
YouTube: Beatrice Daniel
Simu/WhatsApp: +255 714 919 598, +255 769 344 293
Facebook: Beatrice Daniel
Instagram: @beatrice_daniel
YouTube: Beatrice Daniel
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni