Toyin Obilan ni mwimbaji wa nyimbo za Injili mwenye asili ya nchi ya Nigeria akiwa anafanya huduma nchini marekani ambaye kwasasa ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la You’re Worthy Lord.
You’re Worthy Lord ni wimbo wa ibada yenye nguvu ambayo inalenga na kuzungumza juu ya ukuu na uweza wa Mungu. Wimbo unaomtangaza Mungu wetu anayestahili kusifiwa.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni hakika kuwa utakubariki na kukuinua kila wakati, Amen.
Social Media Connection:
Facebook: OluwaToyinMusic
Instagram: @oluwatoyin__music
YouTube: Oluwatoyin_Music
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni