Kutoka nchini Kenya leo tumekusogezea video ya wimbo uitwao Asante Baba kutoka kwa mwanadada anayejulikana kwa jina la Precious Effie.
Video hii imeongozwa na director Kevin Current, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za 72 Records chini ya mikono ya prodyuza Terence On The Track.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki, Amen.
Social Media Connection:
WhatsApp: +254 721 470 574
Facebook: Precious Adhiambo
Instagram: @preciouseffie
YouTube: Precious Effie
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni