Breaking

Jumatatu, 25 Februari 2019

Video | Samtanye – Arise

Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea video ya wimbo mzuri uitwao Arise kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kwa jina la Samtanye.

“Arise” ni wimbo wa uliobeba ujumbe wa kuhamasisha taifa la Wanaigeria kuchukua njia inayofaa kwa serikali yao ikiwa ni pamoja na kuliombea kwa Mungu liweze kuwa na Amani na Upendo hasa kwa uchaguzi ujao.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.



Social Media:
Facebook: Samtanye
Instagram: @ssamtanye
Twitter: @ssamtanye
YouTube: Samtanye 1

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni