Muziki huu ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za 6 Records chini ya mikono ya prodyuza Sajo.
“Hakuna kitu kikubwa kama upendo, zaidi upendo usio na kipimo, Unaweza jiuliza pasipo PENDO la Mungu ungekuwa wapi, Inafika mahala tunatakiwa kumshukuru Mungu maana kwa yale aliyoyatenda kwetu na anayoendelea kuyatenda ni makubwa, Hatuwezi lipa gharama za Mwana wa Mungu Yesu Kristo pale msalabani, lakini yatubidi kumrudishia sifa na shukurani.” – alisema Faraja
Tunaamini wimbo huu utakwenda kukubariki kila wakati utakapokuwa unasikiliza, Barikiwa!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni