Breaking

Jumatatu, 31 Desemba 2018

Audio | Kwanda Feat. Mag44 – Nalichimfya

Kutoka nchini Zambia kwa mara ya kwanza leo tumekusogezea wimbo mzuri uitwao Nalichimfya kutoka kwa mtumishi wa Mungu anayefahamika kwa jina la Kwanda akiwa amemshirikisha rapa Mag44.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri, Endelea Kubarikiwa!

https://fanburst.com/gospelsharom/mag44-nalichimfya/download

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni