Mwimbaji kutoka Kenya amekuja na nyimbo mpya inayokwenda kwa jina la Reke Wamuyu, nyimbo hii ni nyimbo ambayo imefanya vizuri sana nchini kenya na kupendwa sana tumekusongezea ndugu mfatiliaji wetu wa Gospolsharom.com nyimbo hii naamini itafanyika baraka kwako.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki, Amen
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni