Breaking

Jumanne, 22 Januari 2019

Video | Marry Theopistor – Unatawala

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 leo tumekusogezea video ya wimbo uitwao Unatawala kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Marry Theopistor.

Video hii imeongozwa na director Nist na muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini mikono ya prodyuza Amzy kutoka studio za Enzi Records.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Marry Theopistor kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 672 219 870
Facebook: Marry Theopistor
Instagram: @marry_theopistor

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni