Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tumekusogezea video ya wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Nataka Nikujue kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Teddy Joel.
Nataka Nikujue ni wimbo wa maombi mbele za Mungu juu ya ahadi za baraka ambazo alituahidi katika maisha yetu, Nasi kama watoto wake tunasogezea karibu yake ili tuweze kuzijua, kuzipokea na kuzimiliki baraka zote ambazo Mungu ametuahidi.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki, Amen.
Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Teddy Joel kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 764 740 717
Facebook: Teddy Joel
Instagram: @teddyjoel
Youtube: Tedy Joely
Simu/WhatsApp: +255 764 740 717
Facebook: Teddy Joel
Instagram: @teddyjoel
Youtube: Tedy Joely
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni