Mwimbaji wa nyimbo za Injili Andrew Robinson leo ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Jina la Yesu akiwa amemshirikisha mwimbaji mahiri Suleiman Wilson.
Video hii imeongozwa na director Crix, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Modern Music.
“Hakuna jina jingine tulopewa duniani lipitalo jina lake YESU, Linaweza, lina nguvu, Uzima wetu ngome yetu Baba una nguvu..” – Andrew
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki, Amen.
Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Andrew Robinson kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 765 377 611
Facebook: Andrew Robinson
Instagram: @andrewrobinson
YouTube: Andrew Robinson
Simu/WhatsApp: +255 765 377 611
Facebook: Andrew Robinson
Instagram: @andrewrobinson
YouTube: Andrew Robinson
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni