Kwa mara nyingine tena rapa wa nyimbo za Injili kutoka jijini Arusha maarufu kama Novic BCvm ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Hosanna akiwa ameamshirikisha mwimbaji Spero Spera.
Wimbo huu ameauachia siku ya tarehe 4 Januari ikiwa sehemu ya kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwake na wimbo huu ni zawadi kwa watu wote wanaopenda na kufuatilia huduma yake.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa, Ameen.
Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Mr.Johnson kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 786 102 393
Facebook: Jay Winner
Instagram: @mrjohnson_official
Simu/WhatsApp: +255 786 102 393
Facebook: Jay Winner
Instagram: @mrjohnson_official
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni