Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Nairobi Kenya maarufu kama Size 8 Reborn ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Nitembee na Wewe.
Video hii imeongozwa na director Ivan, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Bern Mziki.
“My everyday prayer is to walk with God at all times whether i have or not. My heart’s desire is you oh Lord.” – Size 8
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni hakika kuwa utakubariki kila wakati utakapokuwa unasikiliza, Amen.
Social Media Connection:
Facebook: Size 8 Reborn
Instagram: @size8reborn
Twittter: @size8reborn
Youtube: Size8Reborn
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni