Breaking

Jumatatu, 25 Februari 2019

Video | Ester Nyanda – Inuka

Kutoka jijini Mwanza leo tumekusogezea video mpya ya wimbo uitwao Inuka kutoka kwa mwimbaji mwenye sauti ya pekee akijulikana kama Ester Nyanda.
Video ya wimbo huu imeongozwa na director Arthur, Muziki ukiwa umetayarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Justin Rider.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni hakika kuwa utakubariki kila wakati utakapokuwa unasikiliza, Amen.




Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Ester Nyanda kupitia:
Facebook: Ester Nyanda
Instagram: @nyandaester
Youtube: Ester Nyanda

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni