Matendo ni wimbo wa sifa unaomtukuza Mungu kwa matendo yake makuu ambayo kwa hakika yameonekana kwa namna ya ajabu katika maisha yetu, Kupitia wimbo huu tunamrudishia Bwana wetu Yesu Kristo shukrani Baraka na rehema zake zituinue kwenda viwango vingine na milele yote tutasifu jina lake.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri wa sifa ambao ni hakika utakubariki, Amen.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni