Breaking

Jumatano, 20 Februari 2019

Video | Wyre – Wanilinda

Kutoka jijini Nairobi Kenya leo tumekusogezea video ya wimbo uitwao Wanilinda kutoka kwa mwimbaji maarufu na mkongwe wa muziki wa mahadhi ya rege anayefahamika kama Wyre.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii na kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika utakubariki kwa namna yako, Amen.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni