Sara Nyongole ni moja kati ya waimbaji wanoendelea kufanya vizuri katika huduma ya muziki wa Injili nchini Tanzania na kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 ameachia video ya wimbo wake mpya wa sifa uitwao Yahweh.
Video hii imeongozwa na director Dee Moolah, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Edgar Mpangile akishirikiana na Golden.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa kila siku utakapokuwa unaitazama video, Amen.
Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Sara Nyongole:
Simu/WhatsApp: +255 789 949 665
Facebook: Sara Nyongole
Instagram: @saranyongole
Youtube: Sara Nyongole
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni