Baada ya kufanya vizuri mwaka 2018 mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Nairobi Kenya maarufu kama Moji Shortbabaa kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Pekee Yangu.
Video ya wimbo huu ikiwa imeongozwa na director Steve Mugo kutoka Ambition Media, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Teddy B.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki, Amen.
Social Media
Facebook: Moji Shortbabaa
Instagram: @mojishortbabaa
Youtube: Moji Shortbabaa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni