Breaking

Jumatano, 20 Februari 2019

Video | Mireille Basirwa Feat. Ron Kenoly – I’m Yours

Baada ya kimya cha muda kidogo toka alipoachia video ya wimbo wa Holy Adonaikwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 mwimbaji Mireille Basirwa ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la I’m Yours akiwa amemshirikisha Ron Kenoly.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo kwa hakika itakubariki, Amen.


Kwa mawasiliano zaidi na mwimbaji Mireille Basirwa wasiliana naye kupitia
Facebook: Mireille Basirwa
Instagram: @mireillebasirwa
YouTube: MireilleBasirwaOfficial

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni