Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 mwimbaji wa nyimbo za Injili Immy Benny ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Nyongeza.
Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Amvela Entertainment chini ya mikono ya prodyuza Maka Rythm akishirikiana na Maka Rythm.
“Kwa Imani Mwaka huu, Mungu akupe hitaji la moyo wako na Nyongeza juu. Mwaka wa tumaini jipya, Ubarikiwe sana.” – Immy
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika kuwa utakubariki, Amen.
Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Immy Benny kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 654 615 344
Facebook: Immy Benny
Instagram: @immybenny
Youtube: Immy Benny
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni