Breaking

Jumatano, 20 Februari 2019

Video | Salvina Salvatory – Usikubali

Kutoka jijini Mwanza Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Salvina Salvatory na hii ni video yake mpya inayofahamika kwa jina la Usikubali.

Video hii imeongozwa na director Daniel Kajinga muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Ngomale.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Salvina Salvatory:
Simu/WhatsApp: +255 629 064 717
Facebook: Salvina Kintu
Instagram: @salvinakintu
Youtube: Salvina Salvatory

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni