Breaking

Jumatano, 20 Februari 2019

Video | Pamsam – Imela (Thank You)

Related image
Wiki chache zilizopita mwimbaji wa nyimbo za Injili maarufu kama Pamsam aliachia video ya wimbo uitwao Conqueror. Na pia mwezi huu wa pili ameachia tena video yake mpya ya wimbo uitwao Imela (Thank You) hii ikiwa ni marudio ya wimbo uliowahi kuimbwa na mwimbaji maarufu kutoka nchini Nigeria akifahamika kama Nathaniel Bassey.
Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio ya Ezra Studios.
“IMELA has been such a song that always reminds me about God and His Mercy towards my life. Please enjoy watching and don’t forget to subscribe to my channel for more english/swahili translated music videos. Singers out there let me know if you will need your song translated into Swahili…” – Pamsam
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Pamsam kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 673 777 715
Facebook: Pamsam
Instagram: @pamsam_official
Youtube: Pamsam

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni