Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza leo tumekusogezea video ya wimbo uitwao Wingu kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Faraja Hannington.
Video hii imeongozwa na director Albert, Muziki ukiwa umetayarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Saz Records chini ya mikono ya prodyuza Sam.
“WINGU ni wimbo uliobeba nguvu ya matumaini baada ya baraka na mkono wa Mungu kuwa katikati ya maisha mtu ambaye alikuwa amekata tamaa. Tunahitaji Wingu la Mungu kukaa juu yetu ili kupata nguvu katika maisha yetu.” – Alisema Faraja
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki, Amen.
Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Faraja Hannington kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 673 393 575
Facebook: Faraja Hannington
Instagram: @farajahannington
YouTube: Faraja Hannington
Simu/WhatsApp: +255 673 393 575
Facebook: Faraja Hannington
Instagram: @farajahannington
YouTube: Faraja Hannington
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni